Matokeo ya Mitihani – Mei 2024

Bodi ya Wakurugenzi ya NBAA katika mkutano wake uliofanyika siku ya Alhamisi, tarehe 20, June, 2024 chini ya Mwenyekiti wake Prof. Sylvia S. Temu, ilithibitisha matokeo ya mitihani ya NBAA ya muhula wa 99 iliyofanyika Mei 2024.

Orodha ya matokeo