Taarifa kwa Umma: Matokeo ya Mitihani Novemba 2023

Imewekwa: Jan 02, 2024


Bodi ya Wakurugenzi ya NBAA katika mkutano wake uliofanyika siku ya Alhamisi, tarehe 21, Disemba, 2023 chini ya Mwenyekiti wake Prof. Sylvia S. Temu, ilithibitisha matokeo ya mitihani ya NBAA ya muhula wa 98 iliyofanyika Novemba 2023.

Tafadhali pakua hapa chini:

  1. English Press Release
  2. Swahili Press Release
  3. Taarifa ya Matokeo